Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

 Wasimamizi wa vituo vya kutolea afya katika halmshauri ya wilaya ya masasi wakiwa kwenye kikao kazi cha kuwajengea uwezo juu ya masuala ya usimamizi wa rasilimali fedha katika vituo vya kutolea huduma za afya leo tarehe 02/02/2017 katika ukumbi wa nursi Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya masasi Mhe; Juma Satmah (wa kwanza kushoto aliyekaa) na Mkurugenzi wa Halmashauri bibi Changwa Mkwazu (wa pili aliyekaa akiwa na meneja wa banki ya CRDB tawi la masasi ndugu Nassoro Uzigo ( wa kwanza kulia) wakati wa  mwenyekiti wa halamashauri ya wilaya ya masasi mhe; Juma satmah akiwa na mkurugenzi wa halnashauri hiyo pamoja na wakuu wa idara wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupata vikombe vya ushindi NANENANE 2016 MTOTO AKIPATIWA HUDUMA YA MENO KUPITIA SHIRIKA LA ONE WORLD ONE SMILE Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya masasi wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi anayeaga( wenye nguo ya rangi ya papo) na mkurugenzi mkaribishwa( mwenye mtandio shingoni) tarehe 26/07/2016 ALIYEKUWA MKURUGENZI WA H/W MASASI BIBI BEATRICE R.DOMINIC AKABIDHI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA BIBI MKWAZU M CHANGWA LEO TAREHE 26/07/2016 Wakuu wa idara ya Halmashauri ya Wilaya ya masasi wakimsikiliza mwezeshaji kutoka chuo cha Mipango Dodoma akifundisha namna ya kuandaa mpango mkakati wa miaka mitao wa Halmashauri hiyo katika ukumbi wa ndanda sekondari mwishoni mwa mwezi april 2016 Mke wa Rais wa Jamhauri ya Muungano wa Tanzanai Mama Janeth Magufuli (mwenye nguo nyekundu) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Dendego kulia ni mama Mary Majariwa mke wa Waziri Mkuu. Mke wa Rais wa Jamhauri ya Muungano wa Tanzanai Mama Janeth Magufuli alipokea zawadi kkutoka kwa wamama wazee na walemavu wa ukoma walioko kambi ya Mkaseka Kata ya Lulindi Wilayani Masasi baada ya kuwatembelea na kuwapa zawadi ya chakula leo tarehe 02 jun

Karibu Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

Karibu kwenye Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, katika tovuti hii utapata fursa ya kujua shughuli mbalimbali zinazotekelezwa katika Halmashauri. Pia unaweza kupata taarifa za matukio mbalimbali yanayotokea katika Halmashauri yetu. halmashauri in fursa za uwekezaji katika sekta ya maliasili, ambapo kuna madini aina ya mawe yanayofaa kwa uchakataji wa kokoto za ujenzi wa majeng na barabara. aidha ina ardhi nzuri kwaajili a kilimo cha maza...

Takwimu

 • vikundi vya wananwake na vijana = 100
 • VYAMA VYA MSING (AMCOS) = 42
 • hospitari = 1
 • Vituo vya Afya = 3
 • Zahanati = 37
 • Shule za Sekondari = 27
 • Shule za Msingi = 124

Habari & Matukio

22 Feb 2017

Halmashauri ya Wilaya ya Masasi imepitisha bajeti ya Ths. 31,147,557,341.00 kwa Mwaka wa fedha wa 2017/2018 kutoka vyanzo mbalimbali vya Halmashauri kati ya fedha hizo Tshs.4,173,696,000.00 zitatokana...

22 Feb 2017

Ni hatari kubwa mtoto alie chini ya miaka 5 kukosa chanjo na wengiwao hufariki kwa haraka sababu ya kupata maradhi na miili yao haina kinga dhidi ya maradhi. Mzazi inakubidi uhakikishe mtoto amepata c...