• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Maji

HALI YA UPATIKANAJI WA HUDUMA YA MAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI

HalmashauriyawilayayaMasasiinatekelezamiradiyamajikatikavijijikupitiaProgramuyaMaendeleoyaSektayaMaji (WSDP). Program hiiinafadhiliwanawahisanimbalimbaliwaMaendeleokama World Bank. Pia utekelezajiwaMiradiyamajivijijiniumeingizwakwenyempangowaBig Result Now (BRN).

HalmashaurihadisasainajumlayaVisima 97 katiyahivyovinavyofanyakazinivisima 81navibovuni 16.KupitiaProgramuyaSektayaMajiimetekelezamiradiyaMaji (10) Kumikamaifuatavyo:-

  • UjenziwamradiwamajiMkululu-Mpopo
  • MradihuuunawawezeshawananchiwavijijivyaMkululu, majengo, mpopo,mbugo,Chipunda,Mfuto,Mnolela,Lusonje,Mkundi, Kupatahudumayamajisafinasalama.MradihuuunathamaniyajumlayafedhaTsh. 1,257,479,779 naumekamilikakwaasilimia 97.Utekelezaji uliofanyikampakasasaniUkarabatiwaTanki la ukubwawalita 200,000  Ujenziwa DP 63, Bombakuu km 19.34,ujenzi wa line yakusambazamajikwendakwawalaji km 9.68 ,Kujenga tank la lita 1000 la kuvuniamajiyamvua,ujenziwanyumbaya pump yamajinaununuziwa pump yakusukumamaji, ufungajiwatransformayaumeme, ujenziwaofisiyaJumuiyayamajipamojanaufungajiwamitazakusomeamaji.
  •  
  • UjenziwamradiwamajiMkululu-Majembe.
  • MradihuuunawawezeshawananchiwavijijivyaMajembe,MibanaSyenjelaKupatahudumayamajisafinasalama.  MradihuuunathamaniyajumlayafedhaTsh. 960,079,374.2 naumekamilikakwaasilimia 90.Utekelezaji uliofanyikampakasasaniUjenziwa line kuuyamaji km7.6, ujenziwa line yakusambazamajikwawalaji km 3.74, ujenzinyumbaya pump, ukarabatiwa weir (chanzo cha maji), ujenziwatanki la kuvuniamajiyamvualita 1000, ujenziwachoo cha mlinzi, ukarabatiwatanki la lita 50,000 katikakijiji cha Miba, ufungajiwa pump yamaji
  • UjenziwamradiwamajiMpindimbi - Shaurimoyo
  • MradihuuunawawezeshawananchiwavijijivyaMpindimbi, Shaurimoyo, Kanyimbi ,KachepanaMaparekupatamajinasalama. MradihuuunathamaniyajumlayafedhaTsh. 1,791,353,368.19 naumekamilikakwaasilimia 99.UtekelezajiuliofanyikampakasasaniUjenziwachanzo cha maji (weir), ujenziwa tank la lita 150,000, ujenziwamatank 2 yalita 100,000, ukarabatiwa tank la lita 100,000, ujenziwa line kuuyamaji km 20, ujenziwa line yakwendakwawalaji 15.94, ujenziwavituovyakuchoteamaji 29, ukarabatiwatanki la Shaurimoyolita 250,000pamojanaufungajiwamitazakusomeamaji.
  • Ujenziwamradiwamajichipingo, manyuli,mkaliwata
  • MradihuuutawawezeshawananchiwavijijivyaChipingo,Manyuli,MkaliwatanaNamyomyokupatahudumayamajisafinasalama. MradihuuunathamaniyajumlayafedhaTsh. 2,729,749,876.6 naumekamilikakwaasilimia 70.Utekelezaji uliofanyikampakasasaniUjenziwa line kuuyamaji km15.2, ujenziwa line yakusambazamaji km 13.753, ujenziwa tank la lita 100,000, ukarabatiwatanki la lita 25,000, ujenziwamatank 5 yakuvuniamajiyamvualita 1000, ujenziwanyumbaya pump, kununuanakuweka pump yakusukumamaji.
  • UjenziwamradiwamajiNanganga
  • MradihuuunawawezeshawananchiwavijijivyaNanganga, Chipite,MkangunaNamihungokupatamajisafinasalama.MradihuuunathamaniyajumlayafedhaTsh. 802,412,085.6 naumekamilikakwaasilimia 100.Utekelezaji uliofanyikampakasasaniUjenziwatenkikuu la lita 50,000, Ujenziwatenki la lita 15,000 , Ujenziwa DP 34,Uchimbaji wamitaronaulazajiwabombakuu  km 14.5 ,Uchimbajiwamitaronaulazajiwamabombayausambazaji  km18 Ujenziwawiyaumekamilika,UjenziwaPamphouse,ujenziwaKisima cha maji (Sump) , Ujenziwa valve chamber 11 eneo la Nanganganaufungajiwamitazakusomeamaji.
  • KukarabatimradiwamajiwaChiwambo – Nagaga
  • MradihuuunawawezeshawananchiwavijijivyaChiwambo,Lulindi ,LuagalanaNagagakupatamajisafinasalamaMradihuuunathamaniyajumlayafedhaTsh. 1,382,040,000 naumekamilikakwaasilimia 85.UtekelezajiuliofanyikampakasasaniUlazajiwabomba la 8" umbaliwa km 15, Kulaza line yamaji 3'' umbaliwa km 3.3, kulaza line ya 6'' umbaliwa km 3.6, kulaza line ya 4'' umbaliwa m 400   
  • KukarabatimradiwamajiNagaga- Mpeta
  • Mradihuuunawawezeshawananchiwanagaganampetakupatamajisafinasalama.MradihuuunathamaniyajumlayafedhaTsh. 1,629,939,409 naumekamilikakwaasilimia 95.Utekelezaji uliofanyikampakasasaniUjenziwa line kuuyamaji km21, ujenziwa line yamajikwendakwawalaji km 23 umekamilika, ujenziwavituovyakuchoteamaji 21 umekamilika, ujenziwavioskunaendelea, ukarabatiwamatank 2 yalita 25,000 unaendelea
  • Kujengamiundombinuyamajikatikakijiji cha chiungutwa
  • Mradihuuunawawezeshawananchiwachiungutwakupatamajisafinasalama.MradihuuunathamaniyajumlayafedhaTsh 215,387,700 .  naumekamilikakwaasilimia 100naupokwenyematazamio .UtekelezajiuliofanyikaniUjenziwa raiser mita  9, Ujenziwa DP 13 umekamilika,Ujenziwabomba la usambazajiwamaji km 4.233 umekamilika, Ukarabatiwatanki la lita 25,000 umekamilika .
  • UjenziwamradiwamajiMwena-Liloya
  • Mradihuuutakapokamilikautawawezeshawananchiwa kata zaKuwezeshawananchiwa kata zaMwena,Chikundi,ChikukwenaChigugukupatamajisafinasalama .MradihuuunathamaniyajumlayafedhaTsh 4,413,000,176.57.  naumekamilikakwaasilimia 52 .Utekelezajiuliofanyikahadisasaniuchimbajiwamitaronaulazajiwamtandaowabombakuu 8'' km 9 umekamilika, ulazajiwa line ya 6''km 5 umekamilikaujenziwatanki la Chikundilita 100,000 unaendelea, ujenziwa tank la lita 100,000 Mwenaunaendelea, ukarabatiwamatanki 2 yalita 250,000 unaendelea.
  • UjenziwamradiwamajiMakong'onda -Rivango.
  • MradihuuukikamilikautawezeshawananchiwavijijivyaMakon'gonda, Mkwaya,NakararanaRivangokupatamajisafinasalama.Mradihuuunathamaniyajumlayafedha  1,418,990,000 naumakamilikakwaasilimia 64.Utekelezaji uliofanyikahadisasaniUlazajiwabombakuuumbaliwa km 18,Kulaza bombayamajikwendakwawatumiajiumbaliwa km 11,ukarabati watankikuu la Mkwayalita 200,000 unaendelea, ukarabatiwatanki la lita 90,000 la Rivangounaendelea, ujenziwatanki la chanzo cha mkwayalita 50,000 unaendelea, ujenziwavisima 12 vyamajiupo 90%, ujenzi tank la lita 100,000 Nakararaunaendelea, ujenziwatanki la lita 1,050,000 Chiwambounaendelea .

TAARIFA YA IDARA YA MAJI.pdf

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA III (JAN -MACHI 2025) INAYOTEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    May 06, 2025
  • PPRA YATOA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA NeST NA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI

    March 12, 2025
  • KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA YA MASASI YAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    March 06, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YANATOA FURSA KILA MMOJA KUJUA HAKI YAKE YA MSINGI: MHE MAJALIWA

    March 06, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa