Halmashauri ya wilaya ya masasi imebarikiwa kuwa na madini mbalimbali ambayo yanawanuufaisha wananchi na halmashauri, Madini hayo ni pamoja na madini ya ujenzi ikijumuisha kokoto za ujenzi wa majengo na barabara, kwa kanda ya kusini masasi ni mahali pekee panapopatikana madini hayo. kwa sasa pia kuna ugunduzi wa madini ya Graphite yanakayotumika kutengeneza mabetri ya simu , magari kutokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kutunza umeme.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa