Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Masasi Kwa kuzingatia Kanuni Na.113 (1) ya Kanuni za Utumishi wa umma za Mwaka 2022, anawatangazia Watanzania wote wenye sifa ya kuweza kuomba nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira.
Hatua hii inakuja ni baada ya Bodi ya awali kukamilisha kipindi chake cha Uongozi.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa