Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi anawataarifu Wananchi wote wa Wilaya ya Masasi, kutakuwa na kambi ya wataalamu wa macho hospitali ya Wilaya masasi (mbuyuni) kuanzia tarehe 29 hadi tarehe 1/11/2024
Huduma zitakazotolewa
1. Uchunguzi wa afya ya macho (bure)
2. Huduma ya miwani tiba
3. Upasuaji wa mtoto wa jicho (63,000 ikijumuisha chakula, kitanda pamoja na dawa)
Bima zote zitatumika
Imedhaminiwa na Wizara ya Afya, Hospitali ya Ligula, halmashauri ya wilaya Masasi na Shirika la KCCO
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa