Katibu Mkuu Wizara Habari,.Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa jana tarehe 24/05/2025 amefunga rasmi Kikao kazi cha Maafisa Habari wa Mikoa, Halmashauri na Taasisi za Ofisi ya Rais kilichofanyika Jijini Dodoma .
"Maafisa habari mnapaswa kuwa Sauti ya Serikali katika Maeneo yenu, mna wajibu wa kuhakikisha mafanikio ya Serikali yanawafikia Wananchi na pia Changamoto zinazojitokeza zinaelezwa kwa uhalisia wake".
Kazi iendelee
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa