• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mifugo na Uvuvi

UTANGULIZI:

Idara ina jumla ya vitengo 2,kitengo cha mifugo na kitengo cha Uvuvi vyenye watumishi 21 Me19 Ke 2 kati yao watumishi kitengo cha Mifugo ni 20 Me19 Ke1 na kitengo cha Uvuvi yupo 1 Me 0 na Ke 1

MALENGO YA IDARA:

Lengo kubwa ni kuhakikisha wafugaji wanapata Elimu ya ufugaji bora wa kisasa na wenye tija ili kumfanya mfugaji aongeze kipato aondokane na umaskini uliokithiri lakini pia kuongeza pato la Taifa.

VITENGO VYA IDARA NA MAJUKUMU YAKE:

1: MIFUGO:

  • · Kutoa Elimu ya ufugaji bora
  • · Kutoa matibabu ya mifugo aina zote
  • · Kutoa chanjo ya mifugo
  • · Kufanya tafiti za magonjwa ya mifugo kwa kushirikiana na Taasisi mbalimbali eg VIC
  • · Kuhakikisha usalama wa nyama na walaji
  • · Kujenga miundombinu rafiki kwa wafugaji eg Majosho,Machinjio Marambo N.K
  • · Kudhibiti mifugo inayoingia na kutoka ili kuepuka magonjwa ya milipuko
  • · Kuhakikisha hakuna migogoro ya wafugaji na wadau wengine
  • · Kuunda vikundi vya wafugaji ili kuwafikishia huduma kwa urahisi
  • · Kusimamia miongozo na sera katika sekta ya Mifugo
  • · Kusimamia matumizi ya raslimali za kitengo cha mifugo
  • · Kuandaa taarifa ya utekelezaji kila robo mwaka.

2: UVUVI:

  • Kutoa Elimu ya ufugaji bora wa samaki
  • · Kuunda vikundi vya wafugaji wa samaki
  • · Kusimamia raslimali za uvuvi
  • · Kuhamasisha ufugaji bora wa samaki na uvuvi endelevu
  • · Kutoa vibali vya uvuvi na ukusanyaji wa samaki
  • · Kusimamia sera na kanuni za Uvuvi
  • · Kuandaa taarifa ya kila robo mwaka

HUDUMA MUHIMU ZITOLEWAZO MARA KWA MARA

· Uogeshaji mifugo

· Chanjo ya kuku dhidi ya ugonjwa wa Kideri

· Chanjo dhidi ya kichaa cha Mbwa

· Matibabu dhidi ya magonjwa mbalimbali ya mifugo

· Kutoa Elimu ya ufugaji bora

· Kutoa kinga na matibabu dhidi ya minyoo

· Kuhakikisha usalama wa nyama na walaji

· Kutoa Elimu ya ufugaji bora wa samaki

· Kutoa vibali vya uvuvi na ukusanyaji wa samaki

TAARIFA UPIGAJI CHAPA NG'OMBE MASASI DC.pdf



· 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA III (JAN -MACHI 2025) INAYOTEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    May 06, 2025
  • PPRA YATOA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA NeST NA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI

    March 12, 2025
  • KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA YA MASASI YAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    March 06, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YANATOA FURSA KILA MMOJA KUJUA HAKI YAKE YA MSINGI: MHE MAJALIWA

    March 06, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa