wananchi wa masasi wanajishughulisha na uvuvi kupitia Mto Ruvuma na mito midogodogo kwa ajili ya kujipatia kipato na lishe. Aidha baadhi ya wananchi kupitia vikundi wanafunga samaki kwenye mabwawa ya kisasa baada ya kupata elimu ya ufugaji samaki kwa njia za kisasa na zenye tija.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa