Karibu kwenye Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, katika tovuti hii utapatafursa ya kujua shughuli mbalimbali zinazotekelezwa katika Halmashauri. Halmashauriin fursa za uwekezaji katika sekta ya maliasili, ambapo kuna madini aina yamawe yanayofaa kwa uchakataji wa kokoto za ujenzi wa majengo na barabara. Aidhaina ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo cha mazao mbalimabali ya chakula nabiashara kama ufuta, mahindi, Korosho, choroko nk.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa