• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Sheria na Usalama

  • UTANGULIZI:
  • Halmashauri ya Wilaya ya Masasi imeundwa chini ya Sheria za Serikali za Mitaa Sura namba 287 ya Mwaka 1982 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.  Katika kutekeleza majukumu yake, Halmashauri ya Wilaya Masasi kupitia kitengo cha Sheria pamoja na kusimamia matakwa ya sheria ya mwaka 1982 sura namba 287, pia inasimamia utekelezaji wa Sheria mbalimbali zilizotungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pale inapobidi.
  • MAJUKUMU YA KITENGO CHA SHERIA:
  • Yafuatayo ni baadhi ya majukumu ya Kitengo cha Sheria:
  • Kusimamia mambo yote ya kisheria yanayohusu Halmashauri ya Wilaya Masasi.
  • Kuwakilisha Halmashauri kwenye mashauri mbalimbali Mahakamani.
  • Kuyasimamia mabaraza yote ya kata katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku ili yaweze kutoa haki ili kudumisha amani.
  • Kuandaa, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sheria Ndogo ndani ya Halmashauri.
  • Kuandaa, kusimamia, upitishwaji na kuhakikisha kutengenezwa kwa Sheria Ndogo za Vijiji katika Halmashauri.
  • Kutoa msaada wa kisheria bure kwa watu wote ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Masasi.
  • Kwa kupitia Idara na vitengo vingine ndani ya Halmashauri, na taasiosi nyingine za kiserikali na zisizo za kiserikali, kudumisha amani na upendo katika maeneo yote ya Halmashauri.
  • Kusimamia na kuwashauri kisheria watoa huduma za kisheria (paralegals).
  • MWISHO:
  • Wananchi wote wanakaribishwa ofisi ya sheria Halmashauri ya Wilaya ya Masasi kwa ajili ya kupata ushauri wa kisheria.

Ahsante,

Imeandaliwa na:

Joshua Sanga (ADVOCATE)

MKUU WA KITENGO CHA SHERIA

HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI

S.L.P. 60

MASASI.


MABARAZA YA KATA KAMA CHOMBO CHA UTATUZI WA MIGOGORO.

  • Moja ya wajibu wa msingi wa serikali za mitaa kama ulivyoanishwa katika kifungu cha 113 (1) (a) cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura 287 Rejeo la la 2002 ni:-
  • “Kudumisha na kuwezesha uendelezaji wa amani na utengamano na utawala bora katika eneo lake.”
  • Katika kutekeleza wajibu huu muhimu, serikali imeanzisha mabaraza ya kata katika maeneo yote ya Halmashauri. Mabaraza ya kata yamweanzishwa chini ya kifungu cha 3 cha Sheria ya Mabaraza ya kata Sura 206 Rejeo la 2002.
  • Kwa mujibu wa sheria hiyo ya mabaraza ya kata, kila kata itakuwa na baraza moja la kata, lakini waziri wa Seruikali za Mitaa anaweza kuanzisha mabaraza ya kata mawili katika kata moja.
  • Wajibu wa mabaraza ya kata
  • Kuimarisha amani na utengamano katika eneo lake la kazi, kuhakikisha migogoro inatatuliwa kwa njia za mazungumzo na kukubaliana. Kwa hiyo, ni muhimu Sana mabaraza ya kata yahimize na kutatua migogoro kwa njia ya mazungumzo, ikishindikana ndipo nyingine za utatuzi ziweze kuchukuliwa.
  • Kuendesha kesi za madai na jinai. Aina ya kesi zitakazoshughulikiwa na mabaraza ya kata zimeonyeshwa katika nyongeza ya sheria ya mabaraza ya kata.
  • Kuendesha usuluhishi wa migogoro ya ndoa. Wajibu huu unawekwa na Sheria ya Ndoa, Sura 29 Rejeo la 2002, kwamba baraza la kata kuwa kama bodi ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa.
  • Kushughulikia migogoro ya ardhi ambayo thamani yake haizidi Tshs. 3, 000, 000/=. Wajibu huu unawekwa na Sheria ya Mahakama ya Migogoro ya Ardhi, Sura 216 Rejeo la 200
  • Kushughulikia sheria ndogo za Halmashauri na Vijiji (vilivyo ndani ya kata hiyo).
  • Kufanya kazi kama yatakavyoruhusiwa na sheria nyingine yoyote itakayotungwa na Bunge.

MABARAZA YA KATA KAMA CHOMBO CHA UTATUZI WA MIGOGORO.pdf



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA III (JAN -MACHI 2025) INAYOTEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    May 06, 2025
  • PPRA YATOA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA NeST NA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI

    March 12, 2025
  • KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA YA MASASI YAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    March 06, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YANATOA FURSA KILA MMOJA KUJUA HAKI YAKE YA MSINGI: MHE MAJALIWA

    March 06, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa