English
Kiswahili
Wasiliana nasi
|
Maswali yaulizwayo mara kwa mara
|
Baruapepe za Watumishi
|
Malalamiko
|
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Masasi
Toggle navigation
Mwanzo
Kuhusu Sisi
Historia
Asili ya Masasi
Historia ya Masasi Kiutawala
Orodha ya Viongozi
Ukubwa wa eneo
Hali ya hewa
Shughuli za Kiuchumi
Dira na Dhima
Maadili ya Msingi
Mikakati
Utawala
Muundo wa Halmashauri
Idara
Elimu Msingi
Elimu Sekondari
Utawala na Rasilimali Watu
Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
Fedha na Biashara
Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
Mifugo na Uvuvi
Afya na Ustawi wa Jamii
Ujenzi
Maji
Ardhi na Maliasili
Usafi wa Mazingira
Maendeleo ya Jamii
Vitengo
Ugavi na Ununuzi
Sheria na Usalama
Nyuki
Tehama na Uhusiano
Uchaguzi
Ukaguzi wa ndani
Fursa za Uwekezaji
Agriculture
Construction Minerals
Huduma
Huduma za Elimu
Upimaji wa Ardhi
Huduma za Afya
Huduma za maji
Huduma za kilimo
Huduma za mifugo
Huduma za uvuvi
Madiwani
Orodha ya Wah. Madiwani
Kamati za Kudumu
Fedha Utawala na Mipango
Uchumi Ujenzi na Mazingira
Kudhibiti UKIMWI
Maadili
Elimu Afya na Maji
Ratiba
Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
Miradi
Miradi iliyopangwa
Miradi inayoendelea
Miradi Iliyokamika
Machapisho
Miongozo
Taratibu
Sheria
Fomu za maombi
Jarida
Ripoti
Kituo cha Habari
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Video
Hotuba
Maktaba ya Picha
Habari
Matukio
Kupata mkopo Halmashauri kwa vikundi
UTARATIBU WA KUPATA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE NA VIJANA.
Ili kikundi kipatiwe mkopo kupitia mfuko wa maendeleo ya wanawake na vijana ni lazima kiwe kimekidhi masharti yafuatayo:
Kikundi lazima kiwe cha wanawake tu
Kikundi cha vijana lazima kiwe na vijana wa kike au kiume wenye umri wa kuanzia miaka 15-35
Kikundi cha wanawake umri ni kuanzia miaka 18 na kuendelea
Kikundi lazima kiwe na mradi endelevu ya kiuchumi.
Kikundi lazima kiwe kimesajiliwa/kuandikishwa na Taasisi yeyote inayotambulika kisheria
Kikundi lazima kiwe na makazi ya kudumu ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Masasi (kutambuliwe na serikali za mitaa).
Kikundi ni lazima kiwe na miradi halali kwa mujibu wa sheria za Nchi ya Tanzania
Kikundi ni lazima kiwe na akaunti benki inayotambulika kisheria
Kikundi lazima kiandike andiko la mradi ambao kinaombea mkopo.
Kikundi kitafanyiwa tathimini ya kiuchumi kulingana na andiko lao
Taarifa ya tathimini ya vikundi vinavyoomba mkopo hujadiliwa na kamati ya mkopo ya Wilaya na kutolewa maamuzi.
Kwa vikundi vinavyopitishwa na kamati kupatiwa mkopo, fedha za mkopo huingizwa moja kwa moja kwenye akaunti ya kikundi.
Riba ya mkopo ni asilimia 10 (10%) ya kiasi kinachokopeshwa
Muda wa marejesho ya mkopo ni mwaka mmoja (miezi 12) ikijumuisha muda wa matazamio (Grace Period) ya miezi mitatu
Matangazo
MWONGOZO WA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA NGAZI ZA VIJIJI, VITONGOJI NA MITAA UTAKAOFANYIKA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024
September 18, 2024
TANGAZO LA AJIRA YA MUDA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 27 NOVEMBA 2024 MASASI DC
September 23, 2024
MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC
September 18, 2024
TANZIA TANZIA TANZIA
February 16, 2023
Angalia Zaidi
Habari Mpya
WATEKELEZAJI WA MIRADI KUTOKA KWENYE VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA WAKUTANA NA KUPEANA MBINU MBALIMBALI ZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWENYE MAENEO YAO.
December 19, 2024
OFISI YA RAIS -TAMISEMI KWA KUSHIRIKIANA NA PPRA YAKUTANA NA WATAALAMU LENGO NI KUWEKA MPANGO MAHUSUSI KUHUSU MFUMO WA NeST
December 19, 2024
WENYEVITI WA VITONGOJI 886 WAPATIWA MAFUNZO YA KUONGEZA UWELEWA JUU YA UWAJIBIKAJI
December 17, 2024
WENYEVITI WA VIJIJI/ MITAA WAPATIWA MAFUNZO YENYE LENGO LA KUWAJENGEA UWEZO KATIKA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO
December 16, 2024
Angalia Zaidi