Ujenzi wa Mradi wa Ghala la kuhifadhi Mazao katika kata ya Chiungutwa Utakapokamilika Unategemewa kuwa Chanzo kikuu Cha Mapato ya Halmashauri ya Wilaya Masasi, Mradi huu unatokana na Mapato ya Ndani ambapo mpaka sasa Kiasi Cha Shilingi 354,857,314/= Kimetumika huku Mradi ukiwa Unaendelea na Ujenzi.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa