Kiswahili
  • English
  • Kiswahili
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Huduma za kilimo

   HUDUMA ZINAZOTOLEWA

  • Kuaanda mpango wa kazi wa Idara ya Kilimo wa Wilaya
  • Kusimamia  shughuli zote za huduma za ugani zinazotolewa na watoa huduma wa serikaliMashirika  na sekta katika Halmashauri
  • Kuaandaa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo wa Wilaya (DADP) na kufanya mapitio kila mwaka
  • Kuhamasisha  ushiriki wa sekta binafsi katika kutoa huduma za ugani ndani ya Halmashauri na kuandaa mikataba ya kutoa huduma za ugani
  • Kutafsiri na kuelekeza wataalam na wadau ndani yaHalmashauri kuhusu utekelezaji wa sera, sheria na miongozo ya Kilimo
  • Kuratibu maandalizi ya makisio ya mahitaji ya pembejeo na zana za kilimo na kusimamia upatikanaji na usambazaji wake,
  • Kutoa taarifa ya milipuko ya magonjwa na wadudu waharibifu kwa kuwasiliana na mamlaka za juu, kama wilaya na mkoa,Utafiti na Wizara za Sekta ya Kilimo
  • Kuhamasisha na kuimarisha mitandao ya wakulima,
  • Kuaandaa orodha ya wataalam waliopo, taaluma zao na mahitaji itakayotumika kama mwongozo wa kuajiri wataalam wa kutosha
  • Kuwatambua na kuwaorodhesha watoa huduma wa sekta binafsi walioko ndani ya halmashauri pamoja na uwezo wao kirasilimali;
  • Kufanya mikutano ya Maafisa Kilimo ngazi ya wilaya (DSMS) angalau  mara moja kwa mwezi, mkutano wa kila robo mwaka kwa watoa huduma za ugani wote katika wilaya na mkutano wa kutathmini utekelezaji shughuli za kilimo mara mbili kwa mwaka;
  • Kuaandaa taarifa ya utekelezaji na matumizi ya fedha ya mwezi, robo mwaka, nusu mwaka na mwaka na kuwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya;
  • Kushirikiana na watendaji ndani ya wilaya katika kupendekeza, kuandaa na kusimamia utekelezaji wa sheria ndogo ndogo za kilimo (agricultural by-laws);
  •  Kuaandaa na kuitisha mikutano ya wadau wa sekta ya kilimo ndani ya wilaya sio chini ya mara moja kwa mwaka,
  • Kusimamia matumizi ya rasilimali zinazotolewa kwa shughuli za Idara
  • Kuwawezesha wakulima kutambua fursa na vikwazo vilivyopo katika matumizi ya teknolojia zilizopo za uzalishaji wa mazao ya kilimo ili kupeleka teknolojia sahihi kwa wakulima kulingana na mahitaji yao.
  • Kushirikiana na watafiti katika kujaribu teknolojia mpya katika mashamba ya wakulima wilayani

Kuandaa na kusimamia matumizi ya Daftari la Kilimo katika wilaya;

Atashirikiana na watafiti katika kujaribu teknolojia mpya katika mashamba ya wakulima  na mashamba darasa wilayani

Kuratibu idadi ya zana za kilimo zilizopo nadani ya  halmashauri

  • Kubaini hali ya zana zilizopo  na matumizi yake ndani ya Halmashauri
  • Kuwashauri wakulima na maafisa ugani juu ya matumizi bora ya zana za kilimo
  • Kufuatilia matumizi ya zana mbalimbali za kilimo katika Halmashauri zilizotolewa na miradi mbalimbali  kwa vikundi, taasisi na vijiji  ndani ya halmashauri ili kuwa na matumizi endelevu

Kuaandaa mikakati ya uendelezaji wa secta ya umwagiliaji kwa kuibua miradi mipya ya kilimo cha umwagiliaji ndani ya halmashauri

  • Kufuatilia teknolojia za kuendeleza mazao muhimu ya umwagiliaji wilayani  kutoka katika Vituo vya Utafiti na kuwawezesha wataalam katika wilaya kuzielewa ili zitumike kwa usahihi na wakulima.
  • Kushirikiana na watafiti katika kujaribu teknolojia mpya za umwagiliaji katika mashamba ya wakulima  kwenye maeneo ya umwagiliaji

Kufuatilia na kutathmini hali ya upatikanaji wa chakula  ndani ya wilaya na kutoa ushauri pale inapohitajika ;

Kuaandaa programu ya mafunzo ya  lishe kwa maafisa ugani na wakulima

Kusimamia teknolojia za kuendeleza hifadhi ya mazao muhimu katika wilaya kutoka katika Vituo vya Utafiti na kuwawezesha wataalam  na wakulima kuzielewa ili zitumike kwa usahihi;

  • Kushirikiana na watafiti katika kujaribu teknolojia mpya za kilimo cha bustani na matunda  katika bustani za  wakulima  na mashamba darasa wilayani
  • Kufuatilia teknolojia za kuendeleza  zao la korosho  katika wilaya kutoka katika Vituo vya Utafiti na kuwawezesha wataalam katika wilaya kuzielewa ili zitumike kwa usahihi;
  • Kushirikiana na watafiti katika kujaribu teknolojia mpya za kilimo cha katika mashamba ya wakulima   
  • Kuunganisha na kutunza takwimu muhimu za uzalishaji wa wa zao la korosho   katika Halmashauri

Kufuatilia teknolojia za udhibiti wa visumbufu vya mazao yote  muhimu katika wilaya

Kuratibu na kuelekeza mipango ya kuendeleza shughuli za ukusanyaji wa takwimu mbalimbali za kilimo ndani ya Halmashauri

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA III (JAN -MACHI 2025) INAYOTEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    May 06, 2025
  • PPRA YATOA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA NeST NA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI

    March 12, 2025
  • KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA YA MASASI YAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    March 06, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YANATOA FURSA KILA MMOJA KUJUA HAKI YAKE YA MSINGI: MHE MAJALIWA

    March 06, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa