Serikali kupitia programu ya ESPJ (Tanzania Education and Skills for Productive Jobs Program) chini ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknologia imetoa kiasi cha fedha shilingi 452,000,000/= kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya mwalimu, mabweni na madarasa katika kata ya Chiungutwa, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi ikiwa na lengo la kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji kwa kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata Elimu bora na yenye tija kwao, kutokana na kiasi hicho cha fedha kilichotolewa serikali imejenga miundombinu mbalimbali kwenye shule hiyo kama ifuatavyo;
1. Nyumba ya mwalimu moja yenye thamani ya Tsh. 42,000,000/=,
2. Madarasa sita yenye thamani ya Tsh. 120,000,000/=,
3. Mabweni mawili yenye thamani ya Tsh. 290,000,000/=.
Nyumba ya Mwalimu
Bweni la wavulana
Bweni la wasichana
Programu ya EP4R imetoa fedha kiasi cha Tsh 126,000,000/= kwa ajili ya;
Jengo la madarasa mawili na ofisi
Choo chenye matundu sita
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa