• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Ardhi na Maliasili

1.1. UTANGULIZI

Idara ya Ardhi na Maliasili ni miongoni mwa idara 13 za Halmashauri ya Wilaya Masasi. Idara ina

vitengo viwili ambavyo ni Ardhi na Maliasili

MAJUKUMU/KAZI ZA IDARA ZA KILA KITENGO

2.1. Kitengo cha Ardhi

Majukumu ya kitengo cha Ardhi ni pamoja na kuandaa mipango ya uendelezaji, kusimamia uendelezaji wa mji, kusimamia milki na kufanya uthamini wa ardhi na mali sisizohamishika.

Ili kute kutekeleza majukumu hayo,kiengo kimegawanyika katika sehemu kuu nne kama inavyoelezwa hapa chini.

(a) Mipango Miji;

• Kusimamia uandaaji wa Mpango Kamambe wa mji (Master plan)

• Kuandaa mipango ya kina ya uendelezaji wa ardhi katika maeneo ambayo yameiva kwa

uendelezaji ili ujenzi wake ufuate taratibu na sheria za mipangomiji

• Kuandaa mipango maerekebisho ya michoro ya mipangomiji (Amendment Schemes)

Kuandaa mipango ya uboreshaji maeneo yaliyojengwa holela (Regularazation/Upgrading

Schemes)

• Kutoa masharti ya undelezaji wa ardhi

• Kusimamia uendelezaji wa mji wa kila siku (urban development control)

• Kuchunguza ramani za Majengo kwa ajili ya utoaji vibali vya ujenzi.

• Kutoa ushauri wa uendelezaji wa ardhi kwa wananchi.

(b) Upimaji na Ramani

• Kulinda na kusimamia sheria za upimaji ardhi kwa mujibu wa sheria za upimaji ardhi (sheria namba 390 ya mwaka 1956

• Kutoa maelekezo ya upimaji

• Kupima viwanja vya matumizi mbalimbali na mashamba

• Kupima mipaka ya vijiji

• Kufanya upimaji kwa ajili ya ramani za kihandisi (Topographical Survey, Base Maps

etc)

• Kuchora ramani za Hati (Deed Plan)

• Kuweka alama za msingi (Control Points)

• Kutoa ushauri wa wananchi juu ya upimaji/faida za upimaji

• Kutoa ushahidi mahakamani kwa kesi mbalimbali zinazohusu matatizo ya mipaka na

uvamizi

• Kutatua migogoro ya mipaka ya viwanja na mashamba

• Kufufua na kurudishia alama za mipaka

• Uchoraji na utayarishaji ramani za viwanja

• Kutoa ushauri na kutunza kumbukumba za upimaji ardhi.

c) Usimamizi wa Ardhi

• Kushughulikia maombi ya viwanja na ugawaji wake

• Kutayarisha barua za toleo kwa wamiliki

• Kuhamisha miliki na kurejesha (Surrender)

• Kusimamia masharti yaliyokuwemo katika hati miliki

• Kuandaa na kuratibu mapendekezo ya ufutaji wa viwanja, uhawilishaji

• Kushughulikia migogoro ya ardhi

• Kutoa ushauri kwa wananchi kwa masuala yahusuyo milki za ardhi

• Kutunza kumbukumbu za milki

• Kuandaa na kusajili leseni za makazi

• Kusajili mikopo kwa taasisi na watu binafsi kwa kutumia leseni za makazi na Hatimiliki za kimila

• Kusimamia na kutoa vibali vya mauziano ya leseni za makazi

• Kupokea maombi ya kubadili matumiza ya ardhi

(d)  Uthamini

• Kukadiria kodi za viwanja/mashamba

• Kukagua na kukadiria kiasi cha malipo ya fidia ya mali za wananchi kwenye utwaaji

wa ardhi

• Kutoa thamani ya mali kabla ya kuidhinisha mabadiliko ya milki

• Kutoa thamani katika mahakama kwenye shauri za mirathi, mngawanyo wa mali

kwenye mirathi na wanandoa

• Kukadiria thamani ya Majengo kwa ajili ya mikopo toka taasisi za fedha

• Kutoa thamani ya mali kwa ajili ya hesabu, kumbukumbu za mali,mizania nk

• Kukadiria/kushauri kodi za pango (House rent)

• Kutoa ushauri wa uanzishaji na aina za miradi

• Utafiti wa viwango vya gharama za ujenzi na kodi za ardhi

2.2. Kitengo cha Maliasili

Majukumu ya kitengo cha Maliasilini pamoja nakusimamia uhifadhi na utunzaji wa maliasili pamoja na misitu iliyopo katika Halmashuri ya Wilaya Masasi.

Ili kute kutekeleza majukumu hayo,kiengo kimegawanyika katika sehemu kuu nne  kama inavyoelezwa hapa chini.

(a)  Misitu;

  • Kufanya doria ya uvunaji haramu wa mazao ya misitu
  • Kutoa elimu ya utunzaji wa misitu katika kata na vijiji
  • Kukusanya mapato ya mazao ya misitu
  • Kutoa vibali kwa wateja wa mazao ya misitu kwa kushiriki na Wakala wa huduma za Misitu Tanzania
  • Kupanda miti

(b)  Wanyamapori;

  • Kufanya doria kwa wanyama wakali na waharibifu wa mazao  ya wananchi pamoja na mali zao
  • Kusimamia ulipaji wa fidia/kifuta machozi kwa watu walioathirika na wanyama wakali
  • Kulindarasilimali za wanyamapori

3.0 MIRADI INAYOTEKELEZWA NA IDARA

3.1 Urasimishaji wa Mashamba

Idara inatekeleza miradi  ya Urasimishaji wa Mshamba ya wananchi katika vijiji ……………

Urasimishaji wa mashamba ya wananchi unafadhiliwa na taasisi mbi ,Mkurabita na Concern Wordwide.Urasimishaji umegawanyika katika sehemu zifuatazo;

(a)  Ujenzi wa masijala za Ardhi;

(b)  Uandaaji wa Mpango wa Matumizi bora ya Ardhi;

(c)  Uandaaji na utoaji wa Hatimiliki za Kimila;

 

3.2 Mradi wa Upimaji na Uuzaji wa Viwanja

Idara kwa kushirikiana na Halmashauri ilibuni mradi wa upimaji  wa viwanja ili kuongeza idadi ya viwanja

vilivyopimwa, kuzuia ujenzi wa kiholela na kupunguza urasimu katika ugawaji wa viwanja.

Katika kutekeleza hili michoro ya mipango miji imeandaliwa ikiwa na jumla ya viwanja 830 vya matumizi mbalimbali  katika eneo la mradi wa upimaji viwanja Ndanda.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA III (JAN -MACHI 2025) INAYOTEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    May 06, 2025
  • PPRA YATOA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA NeST NA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI

    March 12, 2025
  • KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA YA MASASI YAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    March 06, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YANATOA FURSA KILA MMOJA KUJUA HAKI YAKE YA MSINGI: MHE MAJALIWA

    March 06, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa