TARATIBU NA HATUA ZA UPIMAJI WA MASHAMBA NA ARDHI YA KIJIJINI
Halmashauri ya wilaya Masasi kama zilivyo Halmashauri nyingine Tanzania, zinajukumu la kupima ardhi/mashamba ya wananchi ili kuwapatia hatimiliki za ardhi zao. Katika kutekeleza hilo, Halmashauri ya Wilaya Masasi imeandaa utaratibu wa upimaji wa ardhi/mashamba ya wananchi kama ifuatavyo;
Awe Mtanzania
Awe na umri wa kuanzia miaka 18 ( mtoto chini ya miaka 18 anaruhusiwa kupimiwa ardhi yake lakini sharti awe chini ya usimamizi wa mzazi au mlezi wake)
Awe na akili timamu wakati wa ujazaji wa fomu na kipindi cha upimaji
Ardhi inayombewa kupimwa haitakiwi iwe na mgogoro wowote kama vile wa mipaka au wa umiliki
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa