Ujenzi wa jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Masasi lilipo katika kata ya Mbuyuni likiwa katika hatua ya umaliziaji Kiasi cha Fedha kilichopokelewa ni Shilingi 1,000,000,000/= Chanzo cha Fedha ni Kutoka Serikali Kuu.

 
	
	
 
                              
                              
                            Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa