• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Ugavi na Ununuzi

  • UTANGULIZI.
  • Halmashauri ya Wilaya Masasi ilianzishwa March 1958 kipindi ambacho ilifanikiwa kuanza kazi mnamo July 1972 ambapo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilipoanzisha serikali za Mitaa (Decentralization programme). Ambapo imeanishwa katika sheria namba 07 ya 1982. Halmashauri ya Wilaya Masasi ni miongoni mwa  Halmashauri tisa (9) zinazounda Mkoa wa Mtwara.
  • Halmashauri ya Wilaya Masasi imejumuisha Idara na vitengo tofauti ili kuwezesha kupatikana kwahuduma kiurahisi katika  Halmashauri ya Wilaya Masasi.
  • HISTORIA YA KITENGO CHA UGAVI & MANUNUZI.
  • Kitengo cha Ugavi  na Manunuzi kilianzishwa kwa mujibu wa sheria ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ilitungwa na kusimamiwa kwa sheria ya mwaka 2011(Public Procurement Act 2011) na kanuni zake The Public Procurement Pegulations,2013, iliyofanyiwa malekebisho mnamo mwaka 2016, Government Notice NO.446; imeelezea maana halisi ya ugavi na manunuzi kuwa ni shughuli zote zinazofanywa za ukununua ,kukopa/kuazima na kuuza kwa mujibu wa sheria kama ilivyooanishwa katika sheria na kanuni zilizopitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  •  
  • DIRA NA MWELEKEO.
  • Dira ya kitengo cha ugavi na manunuzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi ni upatikanaji wa Wazabuni wa uhakika anaeweza kuwa na huduma stahiki, zenye  ubora halisi kwa bei halisi ya bidhaa zitakazotokana na ushindani wa wazabuni wenye sifa. Kuwa na Wazabuni wenye sifa za kiushindani, kiuchumi, mwajibikaji, kutoka na Uuzaji, usambazaji na huduma zingine zitakazoitaji huduma kutoka kwa wazabuni husika katika ununuzi na ugawaji. Kua na usawa wa huduma kwa Wazabuni katika kutekeleza, haki usawa, kiushindani na uwazi katika kutimiza tija na Malengo katika Idara zingine ndani yana Nje ya Halmashauri ya Masasi kulingana na sharia na kanuni elekezi za Ugavi na Manunuzi. The Public Act, Act NO.7 of 2011 and The Public Procurement Regulation,2013, Government Notice NO, 446.
  • MWELEKEO 
  • Halmashauri ya Wilaya ya Masasi katika kitengo cha Ugavi na Manunuzi kina mwelekeo mzuri katika utekelezaji wa sheria za Manunuzi  na Ugavi kama zilizoanzishwa kwa mujibu wa sharia ya 2011 na kanuni zake za mwaka 2013 na marekebisho yake ya mwaka 2016 za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwelekeo wa kitengo cha Ugavi na Manunuzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi kimejikita pia katika maeneo yafuatayo mbali na sheria ya Ugavi na Manuuzi nayo ni:-(Procurement Act and Regulation);
  • Uchumi na Utumiaji sahihi wa fedha ya Umma
  • Kuwa na usawa kwa Wazabuni wote na Utekelezaji sawa kwa Idala 
  • Uadilifu katika Utendaji
  • Uwazi wa Taarifa na Uwajibikaji katika kitengo cha Manunuzi.
  • Uzingatiaji thamani ya fedha na uhalisia wa bidhaa husika,
  • Malengo ya kitengo katika utoaji wa huduma
  • Halmashauri ya wilaya Masasi katika kitengo cha Ugavi na Manunuzi kina malengo yafuatayo katika utoaji wa huduma.
  • Kukusanya takwimu za kusaidia kutayarishwa makisio ya Mahitaji yanayohitajika (Procurement Plan) na  mpango wa ununuzi
  • Kukusanya na kutunza takwimu za utendaji wa wazabuni mbalimbali
  • Kukusanya na kutunza takwimu za upokeaji utunzaji na usambazaji wa vifaa.
  • Kusimamia upatikanaji, mtunzaji na usambazaji wa vifaa (physical distribution)
  • Kutayarisha taarifa za kazi katika vipindi maalum.
  • Kuhesabu na kutoa taarifa ya thamani ya vifaa vilivyopo kila mwisho wa mwaka (Amount stock taking)
  • Kufanya kazi za tunazopangiwapangiwa
  • VITENGO VILIVYOPO KWENYE IDARA NA MAJUKUMU YAKE.
  • Halmashauri ya wilaya masasi imeundwa na idara tofauti tofauti. Idara ya Utumushi pia imebeba jukumu la kusimamia kitengo cha ugavi na manunuzi, hivyo kwa mujibu wa muundo kazi katika halmashauri ya wilaya masasi kitengo cha ugavi na manunuzi kinafanya majukumu yake kwa mujibu wa sharia ya manunuzi ya mwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013 na marekebisho ya mwaka 2016 Na jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • MAJUKUMU YA KITENGO KWA UJUMLA
  • Kitengo cha ugavi na manunuzi kwa ujumla kina jukumu la kusimamia shughuli zilizopo kwa mujibuwa sharia na kanuni zake katika kutoa huduma kwa Umma, wazabuni na idara ama vitengo vinavyoshirikiana navyo katika kutoa huduma hizo.
  • AINA ZA HUDUMA MUHIMU ZINAZOTOLEWA KWA JAMII MARA KWA MARA.
  • Kuleta utafiti na kutoa ushauri jinsi gani gharama za ununuzi au utunzaji wa vifaa zinaweza kupunguzwa.
  • Kutathimini vifaa vinavyotumiwa na idara mbalimbali ilikujua aina na kasi ya matumizi ya vifaa husika kwa hatua Zaidi
  • Kutayarisha makisio ya vifaa vinavyohitajika (material reguirementBudgent)
  • Kutayarisha mpango wa ununuzi (reocumener plan)
  • Kushauri juu ya sera ya ununizi na ugavi serikalini
  • KushaurijuuyamfumowamtandaowaununuzinaugavikwakutumiaKompyuta


  • MWONGOZO WA SERA ZINAZOTUMIKA KUTEKELEZA MAJUKUMU YA KILA SIKU
  • Uzingatiaji wa sharia katika kila hatua ya manunuzi ya serikali zinatakiwa kufuatwa
  • Uwezo na uadilifu kutokana na majukumu ya kila siku
  • Uzingatiaji wa muda katoka utekelezaji wa majukumu
  • Shughuli zote zinazotekelezwa za kila siku ziwe kwenye mpango kazi wa kitengo cha ugavi na manunuzi
  • Uzingatiaji wa thamani ya fedha na uhalisia wa bidhaa husika
  • Kufanyakazi zote zinazopangwa kufanywa

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA III (JAN -MACHI 2025) INAYOTEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    May 06, 2025
  • PPRA YATOA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA NeST NA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI

    March 12, 2025
  • KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA YA MASASI YAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI.

    March 06, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YANATOA FURSA KILA MMOJA KUJUA HAKI YAKE YA MSINGI: MHE MAJALIWA

    March 06, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa