Posted on: June 5th, 2024
Katika kutekeleza Afua za mapambano dhidi ya malaria, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi imeweza kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa malaria kwa kugawa vyandarua vyenye viuatilifu 75,886 kwa wajawazito, w...
Posted on: June 5th, 2024
Jumla ya makosa 21 ya dawa za kulevya aina ya bhangi yenye uzito wa kilogramu 171 na gramu 262 yalikamatwa, aidha kesi 14 zimefanikiwa mahakamani, kesi 04 zinaendelea mahakamani na kesi 03 zipo chini ...
Posted on: June 5th, 2024
"LISHE SIO KUJAZA TUMBO ZINGATIA UNACHOKULA"
Katika kutekeleza Afua mbalimbali za Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Masasi imeweza kuhamasisha kufanya uchunguzi kwa watoto chini ya miaka mita...