Posted on: August 29th, 2024
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara Leo tarehe 29/08/2024, limeketi na kupokea taarifa za fedha Kwa mwaka unaoishia tarehe 30 Juni 2024.
Kwa mujibu wa kifungu Na.4...
Posted on: August 15th, 2024
Watoto wapatao 38,923 kati ya 37,272 katika halmashauri ya Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara wamepatiwa matone ya vitamin A ambapo idadi hiyo ni sawa asilimia 104.4 ya Watoto wote ambao wamepatiwa huduma...
Posted on: August 15th, 2024
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amebainisha kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa utafanyika Novemba 27 mwaka huu.
Mchengerwa ameyasema hayo Leo...