Posted on: November 5th, 2024
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya Masasi limempongeza Mkuu wa Wilaya ya Masasi mhe.Lauter John Kanoni kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya ndani ya Halmashauri ya Wilaya Masasi.
...
Posted on: October 29th, 2024
Halmashauri ya Wilaya Masasi katika kuendana na matumizi ya teknolojia na kupunguza gharama za matumizi ya karatasi katika kusambaza taarifa imeendelea na zoezi la ugawaji wa vishikwamb...
Posted on: October 21st, 2024
Baada ya zoezi la uandikishaji wa orodha ya wapiga kura kuhitimishwa Jana tarehe 20/10/2024, Leo tarehe 21/10/2024 Wananchi wameanza kujitokeza kuhakiki taarifa zao za uandikishaji kwenye vituo vyao w...