Posted on: October 25th, 2025
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ndanda na Lulindi Ndg. Keneth Mgina amewataka Makarani waongozaji wa vituo vya kupigia kura uchaguzi kutekeleza majukumu yao kwa kufuata sheria, kanuni na maele...
Posted on: October 24th, 2025
Ewe Mwananchi Shirika Uchaguzi Mkuu 2025, kwa amani na utulivu, mchague Kiongozi bora kwa Maendeleo ya Taifa.
Kura Yako Haki Yako Jitokeze kupiga kura....
Posted on: October 22nd, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Masasi ina jumla ya Shule za Msingi 135 zinazofanya Mtihani wa Upimaji kitaifa Darasa la nne 2025, huku shule mbili (02) zikiwa ni za watu binafsi.
Kwa upande wa W...