Posted on: February 23rd, 2018
Kufuatia hatua iliyochukuliwa na Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe Gelasius Byakanwa kwa viongozi 56 wa Vyama vya ushirika wilayani Masasi kwa kuwaweka ndani tarehe 23 februari, 2018 kwa makosa ya kutowalipa...
Posted on: February 15th, 2018
Biashara ya mazao ya misitu ikiwemo Mkaa, kuni, mbao na mengine wilayani Masasi imekuwa na changamoto kutokana na wengi wao kutofuata sheria na kanuni ya misitu ikiwemo kutokuwa na vibali na leseni za...
Posted on: February 5th, 2018
MKuu wa mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa amewata walimu wa shule za msingi na sekondari wilayani Masasi kuwa na Mipango madhubuti itakayo pandisha ufaulu wa elimu katika wilaya hiyo kwa mwaka 201...