1.0 UTANGULIZI:
Idara hii ina vitengo vitatu ambavyo ni barabara,Majengo,Mitambo,Umeme na Magari.
Idara ina jumla ya watumishi kumi wenye ajira za kudumu,ambao ni Wahandisi watatu (3), Fundi sanifu ujenzi watano (5),Fundi sanifu umeme mmoja (1),Fundi sanifu magari mmoja (1)
Pia idara inajishughulisha na kusimamaia miradi mikubwa na midogo ya barabara na majengo.
1.1 DIRA NA MUELEKEO WA IDARA YA UJENZI.
idara inaendelea na itaendelea kusimamia miradi yote inayoipokea ikijumuisha miradi ya majengo na barabara kulingana na mingozo inayotolewa na road fund pamoja na ilani ya chama cha mapinduzi kwa kuzingatia usalama na ubora wa kazi.
2. MALENGO YA IDARA KATIKA UTOAJI WA HUDUMA.
Kuhakikisha miradi yote inayoifikia idara inasimamiwa kwa umakini kwa kuzingatia ubora,usalama katika miradi hiyo ili iendelee kuongeza kasi ya uchumi na manedeleo ya maeneo husika.
3. VITENGO VILIVYOPO NA MAJUKUMU YAKE
3.1 KITENGO CHA MAJENGO.
Idara inaendelea kusimamia miradi ya majengo mbalimbali ya Halmashauri ambayo inatekelezwa katika ngazi ya kata, vijiji na makao makuu ya wilaya.
KITENGO CHA UMEME, MAGARI NA MITAMBO.
Kupitia kitengo hiki idara inaendelea kufuatilia na kusimamia matengenezo mbalimbali ya magari ya halmashauri,mitambo mbalimbali iliyoko makao makuu na ile iliyoko katika kata na vijiji vyetu,pia kufanya matengenezo mbalimbali ya mifumo ya umeme katika majengo na miradi ya halmashauri kama inavyoonekana.
KITENGO CHA BARABARA
Kupitia kitengo hiki idara inaendelea kufuatilia na kusimamia miradia ya barabra ikijumuisha matengenezo ya kawaida,matengenezo ya sehemu korofi,matengenezo ya muda maalumu pia idara inaendelea kusimamia miradi mbalimbali ya madaraja iliyopo ndani ya halmashauli yetu.
4.MAJUKUMU YA IDARA KWA UJUMLA.
Kusimamia shughuli zote zinazo husu ujenzi ikijumuisha usimamizi,uaandaaji wa makadilio ya miradi tunayoipokea ambayo ni miradi ya barabara na majengo.
Katika miradi ya barabara idara inajukumu la kusimamia na kuandaa makadilio ya matengenezo ya muda maalumu,matengenezo ya kawaida,matengenezo ya sehemu korofi.
Katika miradi ya majengo idara inajukumu la kusimamia miradi hiyo pia kwa miradi midogo idara ianaandaa makdilio ya miradi hiyo.
3.AINA ZA HUDUMA ZINAZOTOLEWA KWA JAMII MARA KWA MARA
4. IDADI YA WATUMISHI NA NAMBA ZAO.
na
|
JINA
|
CHEO
|
1 |
Eng.aloyce Nombo
|
Mhandisi
|
2
|
Eng.Brown Ondule
|
Mhandisi
|
3
|
Eng.Willium Tighawa
|
Mhandisi
|
4
|
Pendo Haule
|
Fundi sanifu i-barabara
|
5
|
Ramadhani N.Abdala
|
Fundi sanifu ii-barabara
|
6
|
Edward M.Chacha
|
Fundi sanifu ii-barabara
|
7
|
John E.Kimario
|
Fundi sanifu ii-barabara
|
8
|
Filbert Machesha
|
Fundi sanifu ii-umeme
|
9
|
Lukia Namwalia
|
Fundi sanifu i-rangi
|
10
|
Deogratius Pail
|
Fundi sanifu ii-mitambo
|
6.MIONGOZO NA SERA MBALIMBALI INAYOTUMIWA NA IDARA NA VITENGO KATIKA KUTEKELEZA MAJUKUMU YA KILA SIKU.
Idara inafanya kazi kufuata miongozo na sera inayotolewa na bodi ya barabara kwa kazi za barabara na miongozo inayotolewa na wizara husika kwa kazi za majengo pia kwa kufuata sera na ilani ya chama cha mapinduzi.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa