Ofisi ya mkurugenzi inapatikana Kata ya Mbuyuni karibu na shule ya Sekondari Mbuyuni.kuna umbali wa kilomita 30 kutoka Masasi Mjini
Ili uweze kupimiwa shamba lako na kupata hati miliki, utatakiwa kuchukua fomu ya maombi ya kupimiwa kwenye kijiji baada ya kukubaliwa utaenda benki kulipia gharama ya kupimiwa kwenye akaounti ya 7100000000
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa