Kuandaa na kusimamia matumizi ya Daftari la Kilimo katika wilaya;
Atashirikiana na watafiti katika kujaribu teknolojia mpya katika mashamba ya wakulima na mashamba darasa wilayani
Kuratibu idadi ya zana za kilimo zilizopo nadani ya halmashauri
Kuaandaa mikakati ya uendelezaji wa secta ya umwagiliaji kwa kuibua miradi mipya ya kilimo cha umwagiliaji ndani ya halmashauri
Kufuatilia na kutathmini hali ya upatikanaji wa chakula ndani ya wilaya na kutoa ushauri pale inapohitajika ;
Kuaandaa programu ya mafunzo ya lishe kwa maafisa ugani na wakulima
Kusimamia teknolojia za kuendeleza hifadhi ya mazao muhimu katika wilaya kutoka katika Vituo vya Utafiti na kuwawezesha wataalam na wakulima kuzielewa ili zitumike kwa usahihi;
Kufuatilia teknolojia za udhibiti wa visumbufu vya mazao yote muhimu katika wilaya
Kuratibu na kuelekeza mipango ya kuendeleza shughuli za ukusanyaji wa takwimu mbalimbali za kilimo ndani ya Halmashauri
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa