KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA DED MPYA
Halmshauri ya Wilaya ya Masasi inatarajia kuadhimisha maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika 14 june 2023, katika viwanja vya shule ya Msingi Luagala kijiji cha Luagala kata ya Lulindi .
Akizungumzia juu ya maandalizi ya siku hiyo ngazi ya wilaya, Afisa maendeleo ya jamii wilaya ya Masasi Mariana Chifu amesema, wilaya ya masasi imeamua kufanya maadhimisho hayo katika kata hiyo ya Lulindi kwasababu ipo shule yenye watoto wenya mahitaji maalumu ambao nao pia wanapaswa kujumuika na wenzao kujifunza mambo mbalimbali ambayo yamelenga kuwatia hamasa na kuwajengea uwezo ambao utawafanya nao waweze kutimiza ndoto zao.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa