Kitengo hiki kina lengo la kutoa huduma ya ushauri kwa Afisa Masuuli kuhusu taratibu sahihi na zinazokubalika za usimamizi wa masuala ya fedha. Kitengo hiki kinaongozwa na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa halmashauri ambaye anawajibika kwa Mkurugenzi Mtendaji.
Majukumu ya Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa