UTANGULIZI:
Idara ina jumla ya vitengo 2,kitengo cha mifugo na kitengo cha Uvuvi vyenye watumishi 21 Me19 Ke 2 kati yao watumishi kitengo cha Mifugo ni 20 Me19 Ke1 na kitengo cha Uvuvi yupo 1 Me 0 na Ke 1
MALENGO YA IDARA:
Lengo kubwa ni kuhakikisha wafugaji wanapata Elimu ya ufugaji bora wa kisasa na wenye tija ili kumfanya mfugaji aongeze kipato aondokane na umaskini uliokithiri lakini pia kuongeza pato la Taifa.
VITENGO VYA IDARA NA MAJUKUMU YAKE:
1: MIFUGO:
2: UVUVI:
HUDUMA MUHIMU ZITOLEWAZO MARA KWA MARA
· Uogeshaji mifugo
· Chanjo ya kuku dhidi ya ugonjwa wa Kideri
· Chanjo dhidi ya kichaa cha Mbwa
· Matibabu dhidi ya magonjwa mbalimbali ya mifugo
· Kutoa Elimu ya ufugaji bora
· Kutoa kinga na matibabu dhidi ya minyoo
· Kuhakikisha usalama wa nyama na walaji
· Kutoa Elimu ya ufugaji bora wa samaki
· Kutoa vibali vya uvuvi na ukusanyaji wa samaki
TAARIFA UPIGAJI CHAPA NG'OMBE MASASI DC.pdf
·
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa