Nguruwe ni mnyama anayekuwa kwa haraka sana kuliko baadhi ya mifugo mingine kama: Ng’ombe, Mbuzi na Kondoo
Nguruwe huzaa na kuongezeka kwa wingi
Anauwezo wa kutumia mabaki yasiyowezekana kwa matumizi mengine
Anauwezo wa kutoa mafuta kwa ajili ya kupika
Anauwezo wa kutengeneza fedha za haraka kwa ajili ya uwezo wake wa kuzaa kwa haraka na watoto wengi
Ni rahisi kuwalisha nguruwe
Wanaweza kukuzwa kwenye eneo dogo
Nyama yake ni laini na yenye viini lishe vingi
Huzalisha mbolea iliyobora kwa matumizi ya kilimo
Watu wengi hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa matumizi mbalimbali. Mifumo ya ufugaji kuku ambayo hutumika hapa nchini ni huria, nusu huria na shadidi. Ufugaji wa kuku utakuwa endelevu na wenye tija kwa kufuata kanuni za ufugaji bora zifuatazo:-
KANUNI ZA UFUGAJI BORA WA KUKU.pdf
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa