IDARA YA AFYA, USTAWI WA JAMII NA LISHE
1.0 Utangulizi
Idara ya Afya Ustawi wa Jamii na Lishe ni moja ya idara 13 zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi.Malengo makuu muhimu ya idara ni kutoa huduma za afya na tiba pamoja na huduma za ustawi wa jamii kwa wana Masasi. Idara ina jumla ya watumishi 160 wa kada tofauti, hii ni sawa na asilimia 39.50 % ya jumla ya watumishi wote wanaohitajika ambao wamegawanyika katika kada ifuatavyo;- Daktari- 2, Katibu wa afya-1, Daktari Msaidizi-3,Mtaalam wa maabara 1,Mteknolojia maabara msaidizi 2, Afisa lishe 1,Afisa Ustawi wa Jamii-1, Afisa tabibu-14, Afisa tabibu msaidizi 17,Afisa afya 1,Afisa afya msaidizi 7,Afisa Muuguzi 2,Afisa muuguzi msaidizi 19,Wauguzi 37,Wahudumu wa afya 41,Wahudumu wa afya maabara 5, Fundi sanifu msaidizi dawa-1,Fundi sanifu msaidizi maabara-3,Tabibi meno-1.
HUDUMA ZA TIBA
Halmashauri ina jumla ya vituo vya kutolea huduma 47, Huduma zitolewazo ni huduma za wagonjwa wa nje, Huduma za maabara, Huduma za matibabu na matunzo kwa watu wenye VVU, Huduma za ushauri Nasaha, Huduma za uchunguzi na vipimo, Huduma za mama na mtoto. Halmashauri ya wilaya ya Masasi ina Jumla ya vituo 47 vya kutolea huduma za afya. Mgawanyo wa vituo vituo hivyo umeambatanishwa:- Halmashauri ya Wilaya ya Masasi ina Vituo 47 vya kutolea huduma za Afya zifuatavyo:-
JEDWALI 1:
HOSPITALI
|
VITUO VYA AFYA
|
ZAHANATI
|
|||||||
Halmashauri
|
Binafsi
|
Dini
|
Serikali
|
Binafsi
|
Dini
|
Serikali
|
Binafsi
|
Dini
|
Taasisi za Serikali
|
0
|
0
|
1
|
2
|
0
|
2
|
31
|
1
|
9
|
1
|
Aidha orodha ya majina ya vituo vya kutolea huduma za afya pamoja na umiliki wake ni kama ifuatavyo:-
|
|
|||||
S/NO
|
ID NO
|
JINA
|
AINA
|
UMILIKI
|
||
KITUO CHA AFYA/ ZAHANATI/ HOSPITALI YA WILAYA/ MKOA/ RUFAA/ TAIFA
|
KATA
|
KIJIJI/ MTAA
|
SERIKALI/ SHIRIKA/ TAASISI BINAFSI/ INAEDNESHWA KWA MAKUBALIANO ETC
|
|||
1
|
93038
|
NAMATUTWE
|
ZAHANATI
|
NAMATUTWE
|
NAMATUTWE
|
SERIKALI
|
2
|
93069
|
NASINDI
|
ZAHANATI
|
CHIKUNJA
|
NASINDI
|
SERIKALI
|
3
|
93046
|
SHAURIMOYO
|
ZAHANATI
|
MPINDIMBI
|
SHAURIMOYO
|
SERIKALI
|
4
|
93005
|
CHIUNGUTWA
|
ZAHANATI
|
CHIUNGUTWA
|
CHIUNGUTWA
|
SERIKALI
|
5
|
93048
|
UTIMBE
|
ZAHANATI
|
LUPASO
|
UTIMBE
|
SERIKALI
|
6
|
93047
|
SINDANO
|
ZAHANATI
|
SINDANO
|
SINDANO
|
SERIKALI
|
7
|
93007
|
KANYIMBI
|
ZAHANATI
|
MPINDIMBI
|
KANYIMBI
|
SERIKALI
|
8
|
93006
|
CHIWALE
|
KITUO CHA AFYA
|
CHIWALE
|
CHIWALE
|
SERIKALI
|
9
|
93003
|
CHINGULUNGULU
|
ZAHANATI
|
NAMATUTWE
|
CHINGULUNGULU
|
SHIRIKA LA DINI
|
10
|
93001
|
CHIDYA
|
ZAHANATI
|
CHIWATA
|
CHIDYA
|
SERIKALI
|
11
|
93068
|
CHIKUNJA
|
ZAHANATI
|
CHIKUNJA
|
CHIKUNJA
|
SERIKALI
|
12
|
93070
|
MPETA
|
ZAHANATI
|
MPETA
|
MPETA
|
SERIKALI
|
13
|
93010
|
LUKULEDI
|
ZAHANATI
|
LUKULEDI
|
LUKULEDI 'A'
|
SHIRIKA LA DINI
|
14
|
93011
|
LULINDI
|
ZAHANATI
|
LULINDI
|
LULINDI
|
SERIKALI
|
15
|
93013
|
LUPASO
|
KITUO CHA AFYA
|
LUPASO
|
LUPASO
|
SHIRIKA LA DINI
|
16
|
93053
|
NAMOMBWE
|
ZAHANATI
|
MCHAURU
|
NAMOMBWE
|
SHIRIKA LA DINI
|
17
|
93015
|
MAKONG’ONDA
|
ZAHANATI
|
MAKONG'ONDA
|
MAKONG'ONDA
|
SERIKALI
|
18
|
93021
|
MBEMBA
|
ZAHANATI
|
CHIGUGU
|
MBEMBA
|
SERIKALI
|
19
|
93023
|
MBUYUNI
|
ZAHANATI
|
MBUYUNI
|
MBUYUNI
|
SERIKALI
|
20
|
93030
|
MCHAURU
|
ZAHANATI
|
MCHAURU
|
MCHAURU
|
SERIKALI
|
21
|
93026
|
MKULULU
|
ZAHANATI
|
MKULULU
|
MKULULU
|
SERIKALI
|
22
|
93058
|
MNAVIRA
|
ZAHANATI
|
MNAVIRA
|
MNAVIRA
|
SERIKALI
|
23
|
93033
|
MPINDIMBI
|
ZAHANATI
|
MPINDIMBI
|
MPINDIMBI
|
SERIKALI
|
24
|
93032
|
MIHIMA
|
ZAHANATI
|
MPANYANI
|
MIHIMA
|
SERIKALI
|
25
|
93055
|
MIJELEJELE
|
ZAHANATI
|
MIJELEJELE
|
MIJELEJELE
|
SERIKALI
|
26
|
93025
|
MITESA
|
ZAHANATI
|
MITESA
|
MITESA
|
SERIKALI
|
27
|
93035
|
NAGAGA
|
KITUO CHA AFYA
|
NAMALENGA
|
NAGAGA
|
SERIKALI
|
28
|
9345
|
NDANDA
|
HOSPITALI
|
NDANDA
|
MPOWORA
|
SHIRIKA LA DINI
|
29
|
93037
|
NAMAJANI
|
ZAHANATI
|
NAMAJANI
|
NAMAJANI
|
SERIKALI
|
30
|
93002
|
NAMBAYA
|
ZAHANATI
|
MLINGULA
|
NAMBAYA
|
SHIRIKA LA DINI
|
31
|
93044
|
NANJOTA
|
ZAHANATI
|
NANJOTA
|
NANJOTA
|
SHIRIKA LA DINI
|
32
|
93039
|
NANGANGA
|
ZAHANATI
|
NANGANGA
|
NANGANGA
|
SERIKALI
|
33
|
93043
|
NANYINDWA
|
ZAHANATI
|
CHIWALE
|
NANYINDWA
|
SERIKALI
|
34
|
93041
|
TULIZO
|
ZAHANATI
|
NANGOO
|
NANGOO
|
SHIRIKA LA DINI
|
35
|
93049
|
TUMAINI
|
ZAHANATI
|
MWENA
|
CHIKUNDI
|
SHIRIKA LA DINI
|
36
|
93066
|
MKUNDI AMANI
|
ZAHANATI
|
MKULULU
|
MKUNDI AMANI
|
SERIKALI
|
37
|
93054
|
NAMWANGA
|
ZAHANATI
|
MKUNDI
|
MKOLOPOLA
|
SERIKALI
|
38
|
93014
|
MAJEMBE
|
ZAHANATI
|
MKUNDI
|
MAJEMBE
|
SERIKALI
|
39
|
93065
|
CHIKOWETI
|
ZAHANATI
|
MLINGULA
|
CHIKOWETI
|
SERIKALI
|
40
|
93071
|
MAGEREZA
|
ZAHANATI
|
NAMAJANI
|
NAMAHINGA
|
TAASISI YA SERIKALI
|
41
|
9309
|
LUATALA
|
ZAHANATI
|
SINDANO
|
LUATALA
|
SHIRIKA LA DINI
|
42
|
KITUO KIPYA
|
MAPILI
|
ZAHANATI
|
CHIKOROPOLA
|
MAPILI
|
SERIKALI
|
43
|
KITUO KIPYA
|
CHIKOLOPOLA
|
ZAHANATI
|
CHOKOROPOLA
|
CHIKOROPOLA
|
SERIKALI
|
44
|
KITUO KIPYA
|
ST. MICHAEL
|
ZAHANATI
|
LULINDI
|
LULINDI
|
SHIRIKA LA DINI
|
45
|
KITUO KIPYA
|
NAMALEMBO
|
ZAHANATI
|
MSIKISI
|
NAMALEMBO
|
SERIKALI
|
46
|
KITUO KIPYA
|
MWENA
|
ZAHANATI
|
MWENA
|
MWENA
|
SERIKALI
|
47
|
KITUO KIPYA
|
KATIJI
|
ZAHANATI
|
NAMAJANI
|
NAMAJANI
|
BINAFSI
|
Huduma za Kinga
Katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi inatoa huduma muhimu za kinga katika vituo vya kutolea huduma za afya na ngazi ya jamii.Huduma za kinga zitolewazo ni huduma za chanjo,huduma za usafi wa mazingira, ufuatiliaji wa magonjwa yanayotolewa taarifa, huduma za lishe,huduma za kuwarudisha wagonjwa katika hali ya awali na huduma za ustawi wa jamii. Huduma za chanjo zinatolewa katika vituo 42 vya kutolea huduma za afya na pia huduma hizo zinapatikana kupitia huduma za mkoba ambayo hutolewa katika maeneo 16.
Uhifadhi wa taka ngumu na taka maji ni muhimu sana katika suala zima la la kuzuia magonjwa ya mlipuko. Katika jamii. Asilimia kubwa ya taka ngumu katika ngazi ya vijiji zinahifadhiwa kwa njia ya vyoo, Halmashauri ina jumla ya kaya 89,538 ,zenye vyoo vya muda 62,538, zenye vyoo bora 20,443, na kaya zisizo na vyoo 6,391.
Utoaji wa huduma za lishe unasaidia kujenga jamii yenye kinga thabiti ambayo kwa kiasi kikubwa inazuia mwili kupatwa na magonjwa.Huduma za utoaji wa matone ya Vitamini A na dawa za minyoo zinafanyika chini ya mwamvuli wa kitengo cha lishe.
Usafiri na mawasiliano
Idara ya Afya Ustawi wa Jamii na lishe ina jumla ya magari 3 na pikipiki…….,magari hayo yote matatu yanatembea. Pamoja na kuwa na magari hayo machache, Halmashauri haina magari ya kubebea wagonjwa, hali hii inapelekea kuwa na tatizo kubwa katika suala zima la rufaa ya wagonjwa.
VITENGO MBALIMBALI VILIVYOPO KATIKA IDARA YA AFYA USTAWI WA JAMII NA LISHE
Kama Afisa lishe katika halmashauri anawajibika na kuhakikisha kuwa watoto, Vijana,Wanawake na Wanaume katika jamii wana lishe bora inayowapelekea kuwa na afya bora kwa ajili ya uzalishaji wenye tija utakaochangia kukuza uchumi na maendeleo endelevu lengo hili pia itafanikiwa kwa kufanya mambo yafuatayo;
Kusuluhisha migogoro mbambalimbali ya nayohusu
malezi ya watoto
ndoa zenye migogoro
watu waliodhulumiwa
kutelekezwa
Kusaidia watu wenye matatizo ya kiafya (wasio jiweza ) kuwapatia rufaa za kimatibabu katika hospitali ,vituo vya afya zahanati mbalimbali za serikari
kuhakikisha wazee wenye umri wa miaka 60+ wanapata huduma za afya zilizo bora kupitia mfuko wa afya ya jamii (CHF),Kwa kuwapatia kadi
kusaidia watoto waliokinzana na sheria
kunda mabaraza ya wazee na watotokwa ngazi ya halmashauri ,kata na vijiji
kuunda kamati za watu wenye ulemavu na kamati za kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto.
kubaini na kuandaa orodha ya watu wenye mahitaji maalumu na kusaidia kuwapatia misaada mbalimbali.
kushughulikia maswala ya kiunyanyasaji wa kijinsia wanaofanyiwa wanawake na watoto kwa kuwapatia msaada wa kisheria .
Usimamizi shirikishi kwa vituo 43 vinavyo huduma za afya vilivyoingia mkataba na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).
Kuingiza madai yaliyopokelewa kila mwezi kwenye mfumo wa kieletroniki kwa kila siku (E-Claims).
Kuwapatia watoa huduma fomu za madai ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwaajili ya kwenda kutoa huduma kwa wanachama.
Kushughulikia fomu za wanachama wapya wanaojiunga na wale waliopoteza kadi zao na wenye matatizo mbalimbali yanayohusu NHIF.
Kuwapatia kadi mpya zilizotengenezwa kwa wanachama walioomba kadi.
Kuwapatia elimu ya Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya kwa wanachama wapya na wanaokuja kila siku kuchukuwa fomu za kujiunga.
Kusikiliza na kutatua matatizo ya wanachama kila siku.
Kitengo cha Mfuko wa Afya ya Jamii ni kitengo KIlichoanzishwa kwa sheria Na. 1 ya mwaka 2001, kikiwa na lengo la kutoa huduma bora kwa Wananchi wasio katika ajira rasmi na kupunguza mzigo wa gharama za matibabu kwao.
Mfuko wa Afya ya Jamii CHF unatoa huduma kwa watu 6 ( Mkuu wa Kaya 1 na Wategemezi 5) toka katika Kaya moja kwa Mwaka 1 ambapo kila mkuu wa Kaya huchangia Shilingi 10,000/ .
Halmashauri ya Wilaya ya Masasi mpaka Machi, 2018 ina jumla ya Kaya Hai (Zilizolipia huduma kwa Mwaka 1) 19,086 kati ya kaya 68,887 sawa na asilimia 27.71 Halmashauri ina jumla ya wanufaika 99,358 kati ya 264,765 sawa na asilimia 37.53.
Usimamizi shirikishi kwa vituo 33 vya Serikali vinavyotoa huduma za afya kwa Kadi.
Kupokea taarifa za mwezi toka katika vituo 33 vya Afya vya Serikali kuzichambua na kuziwasilisha katika vikao vya Kisheria vya Halmashauri na Wilaya na Mkoa.
kuandaa na kufanya mikutano ya ushawishi kuhimiza jamii kujiunga na Mfuko wa CHF kwa kushirikana na Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji, Waganga wafawidhi wa Zahanati, Wadau wa Maendeleo na wananchi.
Kushughulikia usajili wa wanachama wapya wanaojiunga na kuwapatia kadi na wale wenye matatizo mbalimbali yanayohusu CHF.
Kutoa elimu ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwa wanachama wapya na jamii katika mikutano ya Hadhara.
Kusimamia mapato na matumizi yote katika mfuko wa Afya ya Jamii (CHF).
Kitengo cha Famasi ni kitengo kimoja kati ya vitengo vilivyopo katika Idara ya Afya, ni kitengo kinachojishughulisha na uagizaji, utunzaji, usambazaji na usimamizi wa mfumo wa ugawaji dawa, vifaa tiba vitendanishi na vifaa vya Hospitali.
Malengo
Kuhakikisha Dawa, Vifaa tiba na Vitendanishi vinapatikana wakati wote katika vituo vya kutolea huduma za Afya.
Majukumu ya kitengo
Ratiba ya utoaji wa majukumu ya kitengo
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa