Idara ya fedha na biashara inawajibika kusimamia ukusanyaji wa mapato kutoka katika vyanzo mbalimbali vya mapato ikiwepo vyanzo vya ndani vya mapato, ruzuku na fedha kutoka kwa wahisani. aidha idara inawajibika kusimamia matumizi ya fedha za halmashauri kwa kufuata taratibu na sheria za matumizi ya fedha ya mamlaka za serikali za mitaa.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa