Ujenzi wa Ofisi za halmashauri na Ukumbi wa Mikutano upo katika hatua za umaliziaji kwa Ofisi za Chini pamoja na Ukumbi. Ambapo jumla ya Tshs 1,628,883,652.86 (Tshs 1,599,000,000.00 Serikali Kuu na Tshs 31,996,202.38 Mapato ya Ndani) zimetumika hadi June, 2018 kutekeleza shughuli zifuatazo:- kujenga kuta za chini na kufunika juu kwa zege jamvi, ripu, kuweka milango, tiles, rangi, alluminium, kufunga mfumo wa Umeme, Viyoyozi, Feni na hatimaye kuweka mfumo wa maji taka ndani ya jengo. Hata hivyo, Mkandarasi bado anaendelea na kazi ya kupaka rangi na Kumalizia ofisi za chini na ukumbi hadi kukamilika. Kiujumla, hali ya utekelezaji ni asilimia 43 na ujenzi unaendelea.
Kwa taarifa zaidi bonyeza maandishi ya Blue hapo chini
TAARIFA YA MAENDELEO YA JENGO LA UTAWALA.pdf
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa