TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI (OKTOBA – DISEMBA), KWA FEDHA YA BAKAA
Katika kipindi hiki cha Julai 01, 2017 hadi disemba 31, 2017 Halmashauri imeendelea kutekeleza miradi ya mwaka 2016/2017 yenye thamani ya shs.148, 085,085.49 kwa fedha za BAKAA ambapo hadi Disemba 31, 2017 jumla ya shs. 123,315,335.78 zimetumika sawa na asilimia 83.27 ya fedha zilizovuka mwaka wa fedha 2016/2017.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa