Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa pamoja vyoo matundu saba katika shule ya msingi Ufukoni kwa ufadhili wa fedha za EP4R ambao uko katika hatua za mwisho za umaliziaji.
ujenzi wa vyoo matundu saba katika shule ya msingi Ufukoni ukiwa katika hatua za umaliziaji kwa ufadhili wa fedha za EP4R.
Muonekano wa ndani wa vyoo matundu saba katika shule ya msingi ufukoni huku ujenzi ukiwa unaendelea.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa