Ujenzi wa matundu 12 ya vyoo Shule ya Msingi Luatala, fedha iliyopelekwa ni Tshs 8 million kutoka mapato ya ndani kipengele cha Mfuko wa Elimu.
Mradi uko kwenye hatua ya MWISHO ya umaliziaji, Mwalimu mkuu wa shule hiyo aliwaeleza wajumbe kuwa mradi ulikuwa ni kutekeleza matundu 12 ya vyoo baada ya kukaa na kamati walikubaliana kuongeza tundu la kumi na tatu, aliendelea kusema kuwa waliamua kufanya hivyo baada ya kuona kuwa fedha iliyoletwa inatosha kufavya hivyo.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa