Ujenzi wa matundu kumi na saba ya vyoo katika shule ya msingi Liputu ambao unategemewa kugarimu kiasi cha shilingi 23,469,501/ kwa ufadhili wa mradi wa SWASH kwa shule za msingi ujenzi ukiwa unaendelea .
Muonekano wa ndani wa baazi ya vyoo vinanyoendelea kujengwa katika shule ya msingi Liputu vyenye jumla ya matundu kumi na saba kwa ufadhili wa wa mradi wa SWASH.
Hii ni sehemu maalumu kwa ajili ya kunawa mikono mara baada ya kutoka kujisaidia ili kulinda afya za wanafunzi.
ujenzi wa shimo la choo ukiwa unaendelea katika shule ya msingi Liputu .
Hiki ni moja ya choo ambacho kilikuwa kinatumika katika shule ya msingi Liputu kabla ya mradi huu kuletwa.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa