Ujenzi wa matundu 8 ya vyoo katika S/M Chiwata vyenye thamani ya shilingi milioni 6,600,000/= kupitia fedha za programu ya lipa kulingana na matokeo EP4R Kiasi cha shilingi 80,000,000/= zilipokelewa kwa ajili ya ujenzi wa vyoo matundu sita na vyumba vya madarasa vinne.
Katika ujenzi huu jumla ya Tshs 7,400,000/= zimeokolewa,hivyo kamati ya shule imepanga Tshs 2,500,000/= zitumike kukarabati vyumba vitatu vya madarasa na Tshs 4,900,000/= zitatumika kuanzisha ujenzi wa ofisi ya walimu ikiwa ni pamoja na vifaa vingine vilivyobaki
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa