Ujenzi wa madarasa mawili pamoja na matundu saba ya vyoo katika shule ya msingi Chiwale uko katika hatua za umaliziaji na unategewa kugarimu kiasi cha shilingi 47,700,000/ kwa ufadhili wa EP4R.
Ujenzi wa vyoo matundu saba katika shule ya msingi chiwale ukiwa unaendelea katika hatua ya upauaji kwa ufadhili wa fedha za EP4R.
Wajumbe wa kamati ya FUM wakiwa kwenye ufuatiliaji na ukaguzi wa miradi ya ujenzi na ukarabati katika shule ya msingi chiwale kwenye ujenzi wa vyoo matundu saba.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa