Ujenzi wa matundu saba ya vyoo na madarasa mawili shule ya msingi mwena umekamilika na kugarimu kiasi cha shilingi 47,700,000/ chanzo cha fedha ni EP4R.
Ujenzi wa vyoo matundu saba ukiwa umekamilika katika shule ya msingi mwena kwa ufadhili wa mradi wa EP4R.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa