Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na matundu saba ya vyoo katika shule ya msingi chiroro unaendelea na uko katika hatua za mwisho kukamilika, mradi huu unategemewa kugarimu kiasi cha shilingi 47,700,000/ kwa ufadhili wa mradi wa EP4R.
Ujenzi wa vyoo matundu saba katika shule ya msingi chiroro ukiwa katika hatua za mwisho kukamilika kwa udhamini wa mradi wa EP4R.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa