Jumla ya Tshs 46,109,197.29 zimepelekwa kwenye shule za msingi Mbemba,Nakalola,Lusonje kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa ikiwa ni chumba kimoja katika kila shule na kumalizia ujenzi wa madarasa mawili shule ya sekondari Chiwale
Ujenzi wa chumba kimoja cha darasa shule ya msingi Nakalola chenye thamani ya shilingi milioni 14,369,000/= kupitia fedha za motisha
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa