ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa pamoja na Bweni moja katika shule ya sekondari Mbemba ukiwa katika hatua za mwisho. ujenzi utagharimu kiasi cha shilingi 120,000,000/ chanzo cha fedha ni EP4R
ujenzi wa Madarasa mawili katika shule ya sekondari mbemba ukiwa umekamilika katika hatua za mwisho
Ujenzi wa Bweni katika shule ya sekondari Mbemba ukiwa katika hatua ya upauaji ujenzi unaenda kwa kasi sana.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa