Ujenzi wa bweni 1 Shule ya sekondari Mkalapa, ujenzi uta gharimu kiasi cha shilingi millioni themanini (80,000,000/),chanzo cha fedha cha mradi huu ni EP4R.
Ujenzi wa Bweni la wasichana katika shule ya sekondari Mkalapa unaendelea ukiwa katika hatua ya upauaji ambapo kukamilika kwake kutawapunguzia adha wanafunzi hawa hasa wale ambao wanatoka maeneo ya mbali.
ujenzi wa Bweni la wasichana shule ya sekondari mkalapa katika muonekano wa ndani huku ujenzi ukiwa una endelea kwa kasi.
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa