Halmashauri ya wilaya ya Masasi ni moja kati ya Halmashauri zilizopo kwenye mpango wa kutekeleza Mpango wa kunusuru kaya maskini ambao unahusisha kipengelecha Mradi wa Ajira za Mda ambapo walengwa huongezwa kipato kwa kufanya kazi za ujira wa muda kupitia miradi iliyoibuliwa katika vijiji vyao.
ifuatayo ni miradi iliyopangwa kutekelezwa kwa kipindi cha mwezi mnne (Desemba 2017- Machi 2018
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa