Mradi wa ujenzi wa majengo shule ya Sekondari Chikoropola umegharimu shilingi 61,000,000/= zilizotolewa na Halmashauri kupitia mapato yae ya ndani huku wananchi wakitoa eneo la ujenzi wa maradi, kusomba mchanga, mawe na kufayatua tofali na kuchimba msingi na shimo la choo.
Jengo la Utawala
Jengo la Madarasa 2
Jengo la choo chenye matundu 8
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa