Kwa mara nyingine tena Halmashauri ya Wilaya masasi imepata ushindi wa kwanza kwenye kundi la mamlaka za serikali za mitaa katika maonesho ya wakulima Nanenane, 2017 yaliyofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Ngongomkoani lindi ambapo jumla ya halmashauri 15 zilishindanishwa.
Tangu maadhimisho ya nanenane yalipoanza kuazimishwa kitaifa kanda ya kusini KATIKA viwanja vya ngongo mkoani lindi 2014, Halmashauri ya wilaya ya masasi imekuwa mshindi wa kwanza mara nne mfululizo.
Ushindi huo umetokana na kuonesha teknologia na bidhaa nzuri za mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi
Masasi - Bomani
Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi
Simu ya mezani: 023-2510031
Simu ya kiganjani: 023-2510031
Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa