Posted on: May 5th, 2022
Ili kufanya Maombi ya kazi ya muda ya Sensa kwa makarani na wasimamizi 2022 Boneza Link hiyo hapo chini
https://www.nbs.go.tz/index.php/sw/sensa-2022/738-tangazo-la-kazi...
Posted on: April 9th, 2022
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2022 Ndugu Sahil Nyanzabara Geraruma amekagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Halmashauri ambapo Mwenge wa mwaka huu 2022 umeambat...