Posted on: June 5th, 2024
Mwenge wa Uhuru 2024 leo june 5,2024 umeanza mbio zake Wilayani Masasi ambapo katika Halmashauri ya Wilaya ya Masasi tayari umekimbizwa umbali wa kilomita 102 kwa kupitia katika vijiji 22, kata ...
Posted on: June 5th, 2024
Katika kutekeleza Afua za mapambano dhidi ya malaria, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi imeweza kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa malaria kwa kugawa vyandarua vyenye viuatilifu 75,886 kwa wajawazito, w...
Posted on: June 5th, 2024
Jumla ya makosa 21 ya dawa za kulevya aina ya bhangi yenye uzito wa kilogramu 171 na gramu 262 yalikamatwa, aidha kesi 14 zimefanikiwa mahakamani, kesi 04 zinaendelea mahakamani na kesi 03 zipo chini ...