• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Masasi District Council
Masasi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Asili ya Masasi
      • Historia ya Masasi Kiutawala
      • Orodha ya Viongozi
      • Ukubwa wa eneo
      • Hali ya hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi wa Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Ugavi na Ununuzi
      • Sheria na Usalama
      • Nyuki
      • Tehama na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Construction Minerals
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Upimaji wa Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
    • Huduma za kilimo
    • Huduma za mifugo
    • Huduma za uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Elimu Afya na Maji
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria
    • Fomu za maombi
    • Jarida
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Asili ya Masasi

1.ASILI YA NENO MASASI

UTANGULIZI

Kwa sasa Masasi ni moja ya wilaya  tano zinazounda Mkoa Mtwara,  ipo umbali wa kilomita 199 kutoka Mtwara mjini. Kiramani, Masasi imepakana na mto Ruvuma upande wa kusini, magharibi imepakana na mto Lukuledi na mashariki ikipakana na Uwanda wa Juu wa Umakonde. Unaambiwa hivi, ukisikia jina Masasi huwa kuna vitu vinawakilishwa, yaani kuna Masasi mlima,

Wilaya ya masasi ina Halmashauri  mbili yaani Masasi wilaya na Mji. Ukiwa katika  Halmashauri ya wilaya ya Masasi ina kata 34 zikiwemo Chigugu, Chiungutwa, Lipumburu ,Lukuledi, Lulindi ,Mbuyuni, Mchaura ,Mkululu, Mkundi, Mnavira, Mpindimbi, Mwena Namajani ,Namalenga, Namatutwe, Nanganga ,Nanjota,  Sindano n.k

ASILI YA NENO MASASI

Kihistoria hapo mwanzoni, Masasi kulikuwa na mapori tu, yaliokuwa na simba na wanyama wengine wa porini. Lakini miaka ya 1400  makundi ya wabandu waliofahamika kama Wandonde walifika kwenye maeneo hayo. Hivyo kabla ya ujio wa Wamakua Masasi ilifahamika kwa jina la Undonde, lakini mnamo miaka ya 1700 mpaka 1800 katika ardhi ya Wandonde wakaingia wakazi wapya kutoka Msumbiji waliofahamika kama Wakamkua. Wamakua walikaa hapo na ndio wakazi maarufu kwenye wilaya ya Masasi kwa sasa.

Miaka ya 1840 baada ya kukua kwa biashara ya utumwa na biashara zingine, kwenye ardhi ya Masasi kukawa na ujio wa wageni ambao ni Waarabu waliofika hapo kama wafanyanbishara. Miaka ya  1850-1890 maeneo ya Masasi  wageni kutoka Ulaya kuanzia wale wamishionari mpaka wakoloni wenyewe waliingia.

Asili ya jina MASASI, kama nilivyokwishafafanua hapo mwanzo kuwa kabla ya maeneo ya Masasi kuitwa Masasi palifahamika kama Undonde na hii ni kutokana na wakazi wa kwanza walifahamika kwa jina la Wandonde. Lakini mara baada ya ujio wa Wamakua na Wayao ndipo kulipozaliwa jina la Masasi.

Hivyo jina Masasi lina mahusiano makubwa sana na Wamakua na sio Wandonde . Inafafanuliwa kuwa neno Masasi linatokana na neno la kimakua “Machasi” likiwa na maana ya “masuke ya mtama”. Kwani miaka ambayo Wamakua wanafika hapo kwenye mlima wa Masasi kulikuwa kunalimwa sana mtama ambayo ulikuwa unastawi sana.

Kutokana na neo hilo ndipo kukazaliwa maneno kama “Umachasini” na wengine kufupisha na kupata “Umachasi” na “Machasi”. Lakini kutokana na ujio wa wageni mbalimbali katika Mji wa Masasi kulizuka matamshi mapya ambayo  yalipelekea kuzaliwa kwa neno masasa ktokana na urahisi wa kutaja.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MASASI DC 2025 January 14, 2025
  • MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 MASASI DC September 18, 2024
  • MAENEO YA UTAWALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI September 18, 2024
  • FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA MFUKO WA MIKOPO KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI November 12, 2021
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • MSIGWA: MAAFISA HABARI NI SAUTI YA SERIKALI, TANGAZENI MAFANIKIO YA SERIKALI KWENYE MAENEO YENU.

    May 25, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNAKUWA WABUNIFU NA WAZALENDO ILI WANANCHI WAPATE HABARI SAHIHI NA KWA WAKATI.

    May 23, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MASASI DC KWA KISHINDO:WATEMBELEA MIRADI MITANO YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 678,844,040.00

    May 19, 2025
  • WATENDAJI WA SERIKALI TEKELEZENI WAJIBU WENU WA KIKAZI,MSIJIHUSISHE NA MAMBO YA SIASA: BARAZA LA MADIWANI

    May 15, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

KAIMU MKURUGENZI MASUMBUKO MTESIGWA AKABIZI OFISI KWA MKURUGENZI MPYA
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • RASIMU YA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA WA FWDHA 2021/2022 MASASI DC
  • Mpango Mkakati wa halmashauri ya wilaya ya masasi 2016/2017-2020/2021
  • Taarifa ya Hesabu ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2015/16
  • Rasimu ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 Masasi DC
  • Uchunguzi wa Madai ya Korosho kwa Misimu ya 2016/17 NA 2017/18 Wilaya ya Masasi
  • Mpango Kzazi wa Manunuzi kwa mwaka wa Fedha 2017-2018 Masasi DC
  • Mwongozo wa Malalamiko
  • Sheria

Kurasa Mashuhuri

  • Ikulu
  • Mtwara Region
  • Hati ya Malipo (Salary Slip)
  • Tamisemi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • eGA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Masasi - Bomani

    Anuani ya Posta: S.L.P 60 Masasi

    Simu ya mezani: 023-2510031

    Simu ya kiganjani: 023-2510031

    Baruapepe za Watumishi: ded@masasidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa